Hello Ankal Michuzi,
Naomba nikutakie heri ya mwaka mpya ! Pole na libeneke la kutuhabarisha.
Ankal naitwa Humphrey N. Malulu toka A-town !
Hapa nipo katika vacation yangu Dec 2010 huko Zanzibar ambao kesho 12 Jan
wanaadhimisha siku ya Mapinduzi. Hapo nilikuwa naingia mji mkongwe kuanza vacation kama zile zako.
Nawatakia wazanzibar wote siku njema ya Mapinduzi.
Ahsante na Libeneke oye!
Humphrey Nicolas Malulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...