Home
Unlabelled
yanga yaitungua polisi dodoma 2-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona Mjomba umejiuzuru kushangilia "Bwawa la maini" umeamua kujikumbushia "enzi za RTD" aka "kabla ya ITV". Bwawa la maini limeathirika na Global warming ha haha hahahahaha
ReplyDeleteKweli Wahusika wa soka Tanzania wameishiwa. Yaani hakuna hata mtu anayefikiria kuwapa Marefarii vifaa vya kisasa kwa ajili ya kazi zao? Hebu angalia picha ya pili hapo jinsi refa msaidizi alivyoandika katika karatasi ka kutumia Sharpie sijui kama wachezaji wanaona wakiwa kati kati ya uwanja. Na sijui nani anajua ni mchezaji wa timu ipi anatakiwa atoke au aingie. Ok, TZ yetu hiyo digital staff bado zinatambaa.
ReplyDeleteCha ajabu unaweza kukutana waandaji wa mechi hii siku moja kabla ya mchezo huwa wanajigamba kweli mfano"Maandalizi yote ya mchezo wa kesho yameshakamilika" hivyo tunawaomba wapenzi wa kandanda popote pale walipo wasikose mpambano wa kukata na shoka hiyo kesho. Angalia sasa kinachotokea! Karatasi inatumika karne ya 21? Uwanja umekarabatiwa,vifaa vya michezo ziiiiiii! Ni sawa na wine mpya kwenye chupa ya zamani, bora hata iwe chupa mpya wine ya zamani,tutafika tu Wa Tz.
ReplyDeleteMdau Belgium
Mnapesa ya kuileta brazili tanzania hila amna pesa ya kununua vibao vya kisasa vya ku sub wachezaji!!
ReplyDeletehii nchi imelaaniwa akiya mungu naapia , na kweli viongozi awana atamshipa wa haibu .\
Mdau PARIS
Hii ni kashfa kwa TFF & VODACOM kuhusu vibao vya kubadilishia wachezaji. ni vema wakatoa maelezo ya kina kuhusiana na hali iliyojitokeza jana. si hivyo tu, hata vibao vinavyoonyesha matokeo navyo havipo. na hii inajitokeza inapokuwa inacheza timu ya wananchi YANGA. kwa sababu hiyo tunajua hiyo ni hujuma kama ilivyotokea kwa wale waliowaleta wabrazil na kutuwekea viingilio vya Tsh. 200,000 na wakati wanacheza Simba kiingilio kikawa hakuna. Hata mkifanya hujuma Yanga itaendelea kuwepo na kusonga mbele. DUA LA KUKU ........
ReplyDeleteKama Kaije,alitoka TFF kwa ajili ya wimbo wa Taifa chaajabu nini?? Leo kuona muamuzi wa wa akiba akitumia karatasi kubadilisha mchezaji hayo sio mambo ya ajabu ipo siku itakuja timu kutoka nje yatatumika makaratasi tu kama kawaida.
ReplyDeleteKweli kazi ipo,naona mpaka mchezaji ameweka mkono kwa paji la uso ili aweze kupata kuona kilichoandikwa kwenye karatasi. Kweli bongo mwendo mdundo. Aibuuuuuuu
ReplyDeleteNA HAYO MABENCHI WANAYOKALIA MAKOCHA NA WACHEZAJI WA AKIBA MNAYAONA!!!. WENGINE WANAKAA CHINI HAKUNA VITI NI SAWA NA KUWA KATIKA KARNE YA 21 LAKINI BADO TUNALALA KWENYE VITANDA VYA NGOZI YA NG'OMBE.
ReplyDeleteSYSTEM NZIMA IMEOZA HAPA NYUMBANI NA HAKUNA ANAYETUMIA TENA ELIMU YAKE KUMSAIDIA KUISHI KATIKA MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA.