
ONYESHO LA MAVAZI YA MBUNIFU JAMILA SWAI AKISINDIKIZWA NA BINTI AFRIKA, KIM DEAN NA FRANKO DESIGNS TAREHE 25 MWEZI WA PILI 2011 KATIKA HOTELI YA DOUBLE TREE BY HILTON
KIINGILIO NI KWA MUALIKO TU
VILE VILE KUTAKUWA NA MAUZO YA JEWELERY, VIATU, COSMETICS, HANDBAGS KUTOKA KWA UNIQUE PEARL COLLECTION, MIMI’S COLLECTION, JACKYZ COSMETICS NA AMINA DESIGN
PIA NGUO ZA WABUNIFU WA HAPA NYUMBANI ZITAUZWA
KWA MAWASILIANO KUHUSU KADI YA MUALIKO
SIMU – 0755 551077/0755804489
EMAIL – info@mitindohouse.org
WEBSITE – www.mitindohouse.org
Hii heading ni style au ni bahati mbaya mtu kakopy email hadi kule juu?
ReplyDelete