Do you recognise any of the men holding
Mr Nyerere shoulder-high?
for more CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Haikuwa siku ya uhuru. Ilikuwa siku ambapo serikali ya kikoloni ilikubali kutangaza siku ya uhuru wa Tanganyika.

    ReplyDelete
  2. Mchangiaji wa kwanza, hayo ndio mambo ambayo mnaombwa muwasaidie wenye hizi archives; ili kuwa na historia sahihi.

    Kuna picha zaidi ya 330 kutoka Tanganyika ambazo tunapaswa kuwaonesha wazee wetu au watu wanaoweza kuweka mambo sawa:

    http://vijana.fm/2011/02/14/tanganyika-picha/

    Taarifa zaidi zinapatikana hapa:

    http://www.flickr.com/photos/nationalarchives/collections/72157625827328771/

    Ni matumaini yetu hizi taarifa zitafika kwa Watanzania ambao wanaweza kuchangia kwa namna moja au nyingine. Sio lazima tusubiri Serikali au Wizara husika.

    ReplyDelete
  3. I think I know what you mean mdau wa kwanza.LOL. We are really not independent to be honest.The Colonists are still controlling us in ever aspects of our lives.

    ReplyDelete
  4. Sidhani kama hao waliombeba wako hai hapo ktk picha wanaonekana ni wazee au watu wazima na nyerere kijana but mpaka anakufa alishazeeka what about waliombeba na isitoshe hawakuwa na uwezo wa hali juu kutake care afya zao.... anyway may be yupo hai mmojawapo bt mmmh ngumu sana

    ReplyDelete
  5. Mohamed BilalFebruary 15, 2011

    we didnt bother to know them at those days, in which they devoted their efforts valiantly to make others appear as heroes, while indeed they were the ones who fought for us... so why today?

    let us stop hypocricy..!!!

    ReplyDelete
  6. kuna mzee anaonekana kulia, ni kama Marehemu Kambona vile.

    ReplyDelete
  7. yes hapo juu...kulia ni marehemu kambona....,alikuwa goood friend wa mwalimu ...ambaye hadi alimsimamia harusi london wakati kambona anamuoa miss kilimanjaro/miss tanzania Flora.[mama flora kambona].....sijui kwa nini hawa wazee hawakupata kusameheana hadi wote wamekufa..its time sasa Nafasi ya kambona kwenye historia iwekwe sawa..kama alivyosamehewa Bibi Titi Mohamed.....ambaye alikuwa kundi moja na kina Lifa chipaka John ..,Michael Kamaliza etc...
    .Huyo wa mbele anafanana fanana na mwalimu..sio Joseph ..but inawezekana ana undugu nae ...na wazee wengine wa Dar enzi hizo..sidhani kama huyo mwenye miwani aliyembeba ni John Rupia..welll historia kama hizi ni muhimu kwa vijana wa leo...tena kwa kuwa kuna TBC 1 basi ni vema waendelee kucheza picha zilizopo kwenye AVI[audio visual institute/sinema leo ]..ikiwemo kufanya miradi mikubwa ya kuzikarabati picha za senema na still..kuweka sound..,kuweka story ili angalau kila siku au wiki kuwe na kipindi cha one hour kuonyesha utajiri wa historia uliohifandhiwa kwenye taasisi za uma kama AVI,RTD ,MAELEZO na nyinginezo......we are so poor in that...wenzetu Kenya sasa in there national and private tv are running programmed za kuonyesha historia ya Taifa..ikiwemo kuweka hadharani picha za video .hadi..za siri zisizokuwa na madhara..especially zenye miaka 40 nyuma..we are going to turn 50 ..we need to see those ..classified issues ..documentary yao inaitwa ...KENYA SECRET HISTORY..Huko wameweka wazi issue za kina Pol,J J kariuki,Tom mboya..ukweli wa mauwaji ya kaskazini mwa kenya,etc...Sidhani kama kwetu hilo linawezekana...labda wao baada ya kipindi fulani kupita katiba yao inaruhusu hayo kuwa wazi na kuwalinda wale wahusika ambao bado wako hai wasishitakiwe....but kwenye nchi nyingine wananchi wanapenda kujua ukweli wa walikotoka!!

    @octa

    ReplyDelete
  8. Mdau Mohammed Bilal maneno yako SWADAKTA ..na yameniingia akilini ......Hizo picha walombeba ni wazi kuwa ni wazee wa Dar es salaam walomkaribisha nyerere halafu akawageuka .... waoneshe nyingi tu tuzione ili tujue ukweli uhuru ulitafutwa na kina nani??? ni nyerere peke yake ambae anatajwa kuwa ndio heroe au kuna kundi la watu walopika uhuru ambao bila shaka wapo walombeba ! leo hawajulikani na pengine walidharauliwa kabisa baada yan uhuru... INANIUMA ....

    ReplyDelete
  9. Huyo mwenye miwani ni Mzee Pius Msekwa na mdau anonymus Tue Feb15 02:17:00 unayesema mtu anafanana na Joseph nyerere huyo ni mama mzazi wa Almarhum Mwalimu Bi Mgaya- Mwambungu,Mbinga Ruvuma

    ReplyDelete
  10. huyu aliyebebwa anakula adhabu kaburi sasa hivi kwa uovu wake aliowatendea waislam laana tulwahi

    ReplyDelete
  11. Kile kicheko pale sio cha kweli. Amekenya meno tu kwa kamera. Lakini kabahatika maana wenziwe wameondosha kwa kupopolewa na mawe.

    ReplyDelete
  12. Mchango wa watu wote inatakiwa kuthaminiwa bila kujali chembe yeyote....historia ya Tanzania inatakiwa kuwekwa sawa....kwa mfano ni kweli Tanu ilianza dar kama TAA na wazee maarufu kama kina mzee Sykes ,Tawa said,..John Rupia..etc etc..lakini aliyekuja kuipeleka TANU mikoani ni Nyerere...chama cha TAA mwanzo kilikuwa active ..lakini hapakuwa na juhudi za dhati za kusimama kukipeleka mikoani..kikabaki kuwa network ya wapigania uhuru.hasa waliopigana vita Burma..maana hao ndio waliokuja na vugu vugu la kudai uhuru kutokana na kuwa INSPIRED na nchi za ASIA hasa INDIA,waliokuwa makerere,na nje ya dar kama Kina Kiliro wa Meru etc..walijuwa kipo lakini activity nyingi zilikuja baada ya TAA kuwa TANU ,,na Nyerere ,Kawawa,Kambona,..Bi TITI ndio walioanza kufanya ziara za mwanzo kabisa kusambaza chama.
    Malalamiko kwenye vyama vilivyopigania uhuru sio jambo la ajabu ...hata waliopata uhuru juzi south africa..kuna ambao wanahisi kuwa wameachwa..lakini ni kawaida chama kikishashinda inabidi kukubali kuwa watakao ingia serikalini sio wote ...wengine watabaki makada na wajenga nchi.
    Hata sudani ya kusini ...kuna ambao wanadhani Kiongozi wao wa zamani John Garang Macabough ...anasahaulika..au waliokuwa naye wanasahaulika..ni hisia za kawaida..
    But national forum ya wasomi inahitajika kuweka historia sawa..kabla wahusika wote wakuu hawajatutoka!

    @
    oc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...