Makamu Mwenyekiti wa Sauti za Busara Bw. Simai Mohamed akimkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu ya Zanzibar leo
Dr Shein akikabidhiwa na Bw. Simai Mohamed
kitambulisho maalumu cha VIP cha Sauti za Busara
Makamu Mwenyekiti wa Sauti za Busara Bw. Simai Mohamed akimshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa kulibariki tamasha la Sauti za Busara, na kutoa mwaliko rasmi kwa Rais kuhudhuria. Kulia ni Mkurugenzi wa Sauti za Busara Bw. Yusuf Mahmoud

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...