Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Grace Kiwelu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kisalimian na Mbune wa Kisesa, Luhaga Mpina (kushoto) na Mbunge wa VIti Maalum, Mary Mwanjelwa (wapili kushoto) kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma leo.
Picha na mdau Hilary Bujiku

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wabunge wanatanua jamani,hadi raha...wameivaaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...