TBL,WILOLESI HILLTOP HOTEL NA GALAXY PRODUCTIONS KWA MARA YA KWANZA WAMEKUANDALIA USIKU WA WAPENDANAO SIKU YA TAREHE 14 FEBRUARY 2011 KWA AJILI YA KUWAKUTANISHA WAPENDANAO KWA CHAKULA CHA JIONI (BERBERQUE) NA MUZIKI WA PAMOJA

HII NI KWA MARA YA KWANZA NDANI YA MKOA WA IRINGA KUANDALIWA KWA PARTY KABAMBE KAMA HII KWA AJILI YA WAPENDANAO ,ILI KUIFURAHIA SIKU YA WAPENDANAO KWA WALE WENYE MAPENZI YA DHATI WANAKARISHWA KUSHIRIKI KATIKA PARTY HIYO KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 35,000 KWA WAWILI NA SHILINGI 20,000 KWA MMOJA (SINGLE) PIA KUTAKUWA NA PUNGUZO LA ASILIMIA 10 KWA VINYWAJI NA MALAZI HAPO HAPO WILILOSI HILLTOP HOTEL KUMBUKA HII NI HOTEL YENYE HADHI YA HALI YA JUU KATIKA MKOA WA IRINGA HIVYO HUNA SABABU YA KUKOSA NAFASI HII KWAKO MKAZI WA MKOA WA IRINGA.

TICKET ZINAUZWA ,CONTAINER NJIAPANDA YA RUCO (UNIVERSITY CORNER),COUNTRY FM RADIO ,NET SALOON (NYUMA YA CRDB),WILLOLESI HILLTOP HOTEL,MPWAPWA GROCERY (PAWAGA ROAD)BANAS CAFE-MIYOMBONI,Dragon coffeshop-dodoma road .

karibu usherekehe siku ya wapendanao duniani katika party ya nguvu ambayo kwa mara ya kwanza inafanyika ndani ya mkoa wa Iringa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...