Ankal akiwa na wadau wa Kili Music Academy inayoendelea leo hoteli ya Kunduchi jijini Darkuchambua majina na kazi zitazoingizwa kwenye Kili Music Awards mwaka huu
Mmoja wa washiriki wa acadamy
Katibu Mkuu wa BASATA Bw. Materego akiongea leo
Frank Gonga akichangia mada
Aluta yupo na hata mwaka jana alikuwepo
Taswirazzzz zinachukuliwa kila saa
Bibo akitoa mawazo, Abdallah anamsikiliza
Mkalla na Baucha bado wapo
Wadau toka kila pembe ya nchi










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...