JK kiongoza kikao cha baraza la mawaziri mjini Dodoma leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wee ankal unakiwa utueleze nini wamekijadili usituletee picha tu! tunataka mambo mapya na mawaziri wenye maono na nchi sio short term calculations! Tumeshachoka tunahitaji mabadiliko nchini.

    ReplyDelete
  2. Ngeleja hapo anatoa msimamo wa serikalini utakaopelekwa bungeni kuhusu Eneji Kriisisi

    ReplyDelete
  3. wewe anony wa kwanza...vikao vya baraza la mawaziri ni siri..(Confidential)...hata mwaandishi akishapiga picha anatoka nje wanabaki peke yako..ndio maana wakiapishwa wanasema "NINAAPA KUTUNZA SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI"...

    ReplyDelete
  4. WEWE ANONY WA 3, NI SIRI GANI WANAYOTAKIWA KUWA NAYO BARAZA LA MAWAZIRI??? KWANI WAZIRI NI NANI? NA BARAZA LA MAWAZIRI NI NINI? WOTE KAZI YAO NI KUTIMIKIA WANANCHI KWANI WAO NDIO WALIO WAWEKA HAPO. SASA KIPI CHA SIRI CHA KUJADILI WANANCHI WASIJUE??? WIZI AU UFISADI??? KUWA NA OPEN MIND. BARAZA LA MAWAZIRI NA RAIS NDIO SERIKALI HIYO. SASA KAMA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI NA RAIS NI SIRI BASI WOTE HAWATUFAI. KWANI WANANCHI NI LAZIMA TUJUE WANAJADILI NINI AU KUNAMIKAKATI GANI YA KUTULETEA MAENDELEO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...