Home
Unlabelled
kamati ya bunge ya nishati na madini yatembelea mtera leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kamati ya Nishati ya Bunge iswiwe kama uongozi wa Yanga kuingia kwa kishindo kisha hamna cha maana kinachoendelea. Suala zimala umeme limeingiliwa na wanasiasa badala ya wataalamu.Wanasiasa wa Bunge Tanzania hawana budi kutenganisha siasa na mambo ya kiutaalamu. Inafikia sasa wanasiasa kuhodhi majukumu ya wataalamu basi mambo huharibika. Tujitahidini kuwa wakweli na tunachokifanya bila ya hivyo kumlaumu tu Waziri Ngeleja haipendezi.
ReplyDeleteToo much WASANIII! tusitarajie jipya ndugu zangu,Suala la umeme linaonekana lina SIRI kubwa sana ambayo MTENGUAJI ni Mkuu wa KAYA tu.
ReplyDeleteLakini ukimya wake utaendelea kututafuna hadi mwisho!
Sasa hizo simu hapo TTCL??? Aaaah
ReplyDeleteKuliko kupoteza muda kufatilia mtera kujua kuna nini mngetumia hiyo nguvu kuangalia nji zingine za kuzalisha umeme. Umemem wa upepo, jua na nuclear etc etc how about that ...YES WE CAN..sio kutegemea kabwawa kamoja tu kuzalisha umeme wa watu millioni sijui ngapi...Hiyo ilikua enough in 1960 but we are talking about 2011? Guys !!!!!!!!
ReplyDelete