Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwasili katika Bwawa la Mtera leo ambako kamati hio ilitembelea kujionea kinachoendelea katika bwawa hilo ambalo ni muhimu katika uzalishaji wa umeme nchini
Mh. Ngeleja na Mh. Makama wakipata maelezo ya uzalishaji wa nishati ya umeme kutoka kwa meneja wa Mtera Bw. Justus Mtolela (kulia) leo. Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii kamati ya Nishati ya Bunge iswiwe kama uongozi wa Yanga kuingia kwa kishindo kisha hamna cha maana kinachoendelea. Suala zimala umeme limeingiliwa na wanasiasa badala ya wataalamu.Wanasiasa wa Bunge Tanzania hawana budi kutenganisha siasa na mambo ya kiutaalamu. Inafikia sasa wanasiasa kuhodhi majukumu ya wataalamu basi mambo huharibika. Tujitahidini kuwa wakweli na tunachokifanya bila ya hivyo kumlaumu tu Waziri Ngeleja haipendezi.

    ReplyDelete
  2. Mangi wa KiboshoFebruary 14, 2011

    Too much WASANIII! tusitarajie jipya ndugu zangu,Suala la umeme linaonekana lina SIRI kubwa sana ambayo MTENGUAJI ni Mkuu wa KAYA tu.
    Lakini ukimya wake utaendelea kututafuna hadi mwisho!

    ReplyDelete
  3. Sasa hizo simu hapo TTCL??? Aaaah

    ReplyDelete
  4. Kuliko kupoteza muda kufatilia mtera kujua kuna nini mngetumia hiyo nguvu kuangalia nji zingine za kuzalisha umeme. Umemem wa upepo, jua na nuclear etc etc how about that ...YES WE CAN..sio kutegemea kabwawa kamoja tu kuzalisha umeme wa watu millioni sijui ngapi...Hiyo ilikua enough in 1960 but we are talking about 2011? Guys !!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...