
OK MZEE MICHUZI NYIMBO YA MAMBO BADO IMETOKA HIPO HAPO KWA WATANZANIA WOTE WANAWEZA KUSIKILIZA NA WAKATOA MAONI. ORIGINAL NI WIMBO WA MZEE MAKASI NIMEIRUDIA KWENYE MIPIGO YA KISASA NA NINA MIPANGO YA KURUDIA NYIMBO NYINGI ZILIZO PIGWA NA MABINGWA NA WAZEE WETU WA ZAMANI .KWA HIYO WA BONGO MAMBO BADO MENGI YANAKUJA KUTOKA KWA ALEX KAJUMULO THE ORIGINAL BUSHMAN http://www.reverbnation.com/play_now/song_7157211
Hakikisa unapata right na sio unajipigia tu nyimbo za watu
ReplyDeleteAlex nimekubali vyombo ni moto ktk kibao hiki Remix ya Mambo Bado.
ReplyDeleteIla kuwaenzi Makassy ukitoa video hakikisha pia ni ya ubora wa juu kabisa kama wimbo wa Mambo Bado ya 'Muleba, Darisalaamu,Nairobi na Seattle'.
Mdau
Visiwani Honolulu
Bahari ya Pasifiki.