Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. PETER YOWELI NALITOLELAFebruary 19, 2011

    BWANA MIMI HAWA VIONGOZI WA AFLIKA NI KAMA VILE HAWAJASOMA. MTU UNAKAA MADALAKANI KAMA VILE HAUNA AKILI NZULI. HAWA INABIDI WALUDI CHUO CHETU KIKUU CHA MUZUMBE UNIVESITI YA KULE MOLOGOLO WAKALE KITABU CHA ECONOMY PENGINE AKILI ZAO ZITA[ANUKA. THEY WANTSS TO GO TO MUZUMBE UNIVESITY OF MOLOGOLO TO LEARNING ECONOMY OF AFLICA TO GET OUT OF POWERS LIKE MISRI AND TUNISIA. IS A GOOD STATI IN THE ;AITI DILECKSHENI

    ReplyDelete
  2. dah, kaka hapo juu umeteleza mbaya. Aflika ndio nn? they wants ndio nn? univesity ndio kitu gani? mologolo ndio wapi?stati nn hicho? kaaazi kweli kweli.
    kiswahili tabu, unakazia kingereza, watu sie.

    ReplyDelete
  3. lugha mgogoro (mologolo au morogoro, nzuli au nzuri,aflika au afrika? wadau naomba michango yenu ya dhati. kuchangia kwenu ndio kufanikisha shughuli hii.

    ReplyDelete
  4. kaka hapo juu sio mtz kwa mpe elimu kidogo ili aweze kufahamu matumizi
    ya lugha sahihi lakini message yake imefika kwa walegwa

    ReplyDelete
  5. Wadau hapo juu, huyo peter nalitolela hiyo ndio lugha yake ya sanaa, ni mtu wa kawaida, isiwasumbue, yeye ndio njia yake ya kufikisha ujumbe.
    Na mara nyingi huwa anafanikiwa

    The Kalija - Norway

    ReplyDelete
  6. Ujumbe umefika mzee Peter. Na sisi waafilika tuingie kwa barabara kama watu ya Ijipti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...