Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Jonathan Lema (aliyekaa juu ya Trekta) akimkabidhi Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Jimbo la Arusha Mjini, Elifuraha Paul Mtowe ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Arusha Mambo trekta aina ya Massey Furgason 165 ili kwa kupitia Taasisi hiyo litumike katika shughuli za maendeleo na Kilimo kitakachosaidia upatikanaji wa Chakula kwa shule za Kata na Vituo vya watoto yatima katika Jimbo la Arusha. Kampuni ya Arusha Mambo imeazima shamba lake lenye ukubwa wa Ekari 30 lililopo Kikatiti Arusha lilimwe katika msimu huu wa Mvua na Chakula chote kitakachopatikana kigawanywe katika Shule na Vituo hivyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. safi sana ndio mambo tunayoyataka hayo, chadema oyeeee wenye wivu wajilipue puuuuu na wenye kutoa comment za kejeli mtajibeba mwaka huu kazi kwenu ila chadema tunaipendaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Mmmmhh!

    Mbona trekta lenyewe linaonekana kama USED flani hivi!?!

    Khaa!

    ReplyDelete
  3. Yes Lema ni wazo zuri! Please Mheshimiwa, J K muongezee huyo Mbunge Tractor jingine ili wananchi waelewe nini maana ya Kilimo kwanza na vile vile kuonesha mshikamano pale jambo au wazo zuri na lenye manufaa kwa nchi linapofanyika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...