Mdau Raymodn Edward Mkandawile katika pozi wakati wa sherehe za mahafari ya Advanced diploma katika shule ya London School Of commerce jijini London
Mdau Raymond na wadau toka Tanzania. Shoto ni Da'Sophia na anayefuata ni Da' Fatma.
Mdau Raymond akiwa na wadau na pia dean of school prof. J. Lancaster.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...