Jumamosi tarehe 12/2/2011 imezaliwa Jumuiya ya Watanzania (JUWAMO) wanaoishi Msumbiji. Uchaguzi huo ulifanyika Ubalozini Maputo, chini ya mti almaarufu MWEMBENI. Walioshinda ni Nd.Bakari Njama- Mwenyekiti, Nd.Marcel Kichumbisa- Makamu Mwenyekiti, Nd.Nelson Nkini-Katibu na Nd.Rose Malya- Mweka Hazina. Pichani ni Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Msumbiji,kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Marcel Kichumisa,Mwenyekiti, Bakari Njama, Mhe.Balozi Ngaiza na wadau Marcel Kichumbisa na Rose Malya
Home
Unlabelled
JUMUIYA YA WATANZANIA yazinduliwa msumbiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...