Kiongozi wa sasa wa upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe akisalimiana na kiongozi wa zamani wa kambi hiyo Mh. Hamad Rashid nje ya viwanja vya bunge mjini Dodoma leo
Mwenyekiti wa TLP na mbunge wa Vunjo Mh. Augustine Lyatonga Mrema akisalimiana kwa furaha na katibu mkuu wa CHADEMA na mbunge wa zamani wa Karatu Mh. Wilbroad Slaa leo

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe
akisalimiana na Dk. Wilbroad Slaa leo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo wakati wa mapumziko ya mchana. Picha na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Zito acha kuwa POPO

    ReplyDelete
  2. Unamuonea, hizo ndio siasa ndugu yangu. ukitaka kumjua adui yako fanya urafiki nae!

    ReplyDelete
  3. SIASA SIO VITA!! INAPENDEZA VIONGOZ WETU WANAPOWEKA TOFAUTI ZAO ZA KIMTIZAMO PEMBENI WANAOKUWA NJE YA BUNGE NA KUSALIMIANA KWA FURAHA.

    ReplyDelete
  4. muheshimiwa siasa sio vita, hata kusalimiana na watu hutaki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...