Picha na mdau Prosper Minja wa Bunge
Home
Unlabelled
Mhe. Makinda atembelea Makazi ya Spika wa Bunge Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera mama Makinda. hapo bila kupitapita, miaka mitano shaaaa! Ataishia kukaa Sita mwenyewe 2015!
ReplyDeleteukisikia nyumba ndio kama hii sio unapangapanga matofali unasema umejenga nyumba,safi sana sasa kazi ya uspika itakuwa dili.
ReplyDeletekwa kazi unayoifanya bungeni kwa sasa nashauri na ulinzi uzidishwe. nyumba nzuri kama hii inastaili kwa nafasi yako. kwani Spika aliyepita alikuwa nakaa wapi?! au amekataa kuhama?!
ReplyDeletesafi kabisa jamaa zangu, kitu ambacho hampendi kukisema ni kwamba limegharimu kiasi gani cha fedha za walipa kodi?
ReplyDeletethank you
ReplyDeleteNa hii colonial hang'over tuiache jamani,hadi hivi leo miaka 49 ya uhuru imepita,bado katika nhi yetu kuna sehemu zinaitwa "UZUNGUNI"??tujitahidi kufuta majina haya ya kikoloni na kuweka majina yetu yenye asili ya kiafrika ili
ReplyDeletetuweze kujivuna na kuthamini u afrika wetu.
J.j.london,Uk.