Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba pamoja na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha na kuwakabidhi vyakula mbalimbali wafanyakazi wa Red Cross waliopo katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kutoa huduma kwa waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto jijini Dar.

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishusha vyakula mbalimbali katika lori lililosheheni misaada ya vyakula mbalimbali kwa ajili ya waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwa amebeba kapu lenye mikate kwa ajili ya waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar ambapo Vodacom Foundation ilitoa misaada mbalimbali .
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wa Red Cross wakisaidiana kushusha vyakula mbalimbali katika lori lililosheheni misaada ya vyakula mbalimbali kwa ajili ya waadhirika wa janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto waliopo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiongea na mmoja wa watoto waliopotezana na wazazi wao katika janga la ulipukaji wa mabomu Gongo la mboto, akiwa katika uwanja wa Uhuru baada ya wafanyakazi hao kufika hapo kwa ajili ya kutoa misaada mbalimbali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kumbe ukipata maafa unakula chakula kizuri!!

    ReplyDelete
  2. Yaani sijui nnji hii tumelaaniwa au vipi!Uzembe wao viongozi wetu unatugharimu sana!!!

    ReplyDelete
  3. Vodafone staff. Hiyo picha ya chini kabisa imekaaje. Mnamzingira mtoto hivyo hamjui you could affect her recovery?!?!? Ndio mmepeleka hiyo mikate.... waachieni wenye elimu/uzoefu wa trauma wafanye hiyo kazi ya kumuuliza kilichotokea...

    ReplyDelete
  4. Ankal Michu na Wadau wenzangu katika blog hii ya jamii, salaaams!!
    Naomba kufahamishwa, je kwa kawaida MABOMU hayana "EXPIRE DATE"????????
    Napata wazo kuwa huenda hayo mabomu yamesha-expire na wanajeshi wetu wanazidi kuyaweka bila kujua athari zake.
    Inawezekana tuliyanunua tokea enzi za vita vya nduli Idd Amin Daddah( RIP) na sasa hatuna kazi nayo tena, ni bora tuwauzie wenzetu wa Sudan ya KUSINI.

    Kiberiti Upele, Zanzibar

    ReplyDelete
  5. Ndoto ya mchana,Sweden.February 18, 2011

    Tanzania inabidi watu wajifunze kuhusu mambo ya saikolojia ya watoto.Ona watu wanne wanaongea na huyo mtoto na wamemkodolea macho,hapo huyo mtoto mnamuongezea hofu na stress.Watoto kama hao waliokuwa ktk hali kama hiyo sudden crisis(mgogoro wa ghfla?)walitakiwa waongee au waojiwe na watu waliokuwa na utaalamu kuhusu saikolojia ya watoto.

    Ndoto ya mchana,Sweden.

    ReplyDelete
  6. Very touching .....Allah ajaalie wote walopotelewa na wazazi wao waungane nao.... katika Quraan kuna sura inaitwa "A'basaa" kutoka aya ya 33-37 kuwa nanukuu.."Basi utakapo kuja ukelele,Siku ambayo mtu atamkimbia nduguye, Na mamaye na babaye,Na mkewe na wanawe,Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na lake la kumtosha".... Mwenye Ez Mungu atuhifadhi na atujaalie mwisho mwema ...na awafariji wote walopatwa na maafa haya na yasirudie tena, na kama kuna alofanya jambo hili kwa makusudi basi Mwenye Ez mungu na amuangaze na alipizwe kuliko haya na kama ni Qadar zake basi yeye ni mjuzi kuliko sisi... Amin

    ReplyDelete
  7. sasa hawa watu ningefurahia zaidi kama mngeonyesha moyo wakununua na vitanda vya kulala wagonjwa ni na maana hao vodacome sio maji tu na mchele wagonjwa huwa hawali sana mpaka wapatapo nafuu hivyo basi kupata kwao nafuu ni huduma bora ikiwapamoja nasehemu ya kulala kama umuumia mgongo, mguu, mkono, shingo,kulala chini ndio kabisa kutamzidishia maumivu mnafikili akiamka hapo hata jishikilia wapi hamna hata pakuji support nonesense.hizi ndio kazi za kupeana hana hata wakufikili.

    ReplyDelete
  8. Mohamed BilalFebruary 20, 2011

    It is a tramendous decision by Vodacom Tanzania, for their voluntariness, the ones who devotes their time and wealth for their Tanzanian brothers, are the ones to be considered in higher priorities in the terminology "patriots"...!! i would like to advice other willing Tanzania to step on the good example of Vodacom (T) Ltd to help the gongo la mboto citizens, remember even God says that;
    "But if anyone has the world's goods and sees his brother in need, yet closes his heart against him, how does God's love abide in him?"
    (BIBLE - 1 John 3:17)
    Also;
    'The likeness of those who spend for Allah’s sake is as the likeness of a grain of corn, it grows seven ears; every single ear has a hundred grains, and Allah multiplies (increases the reward of) for whom He wills, and Allah is sufficient for His creatures’ needs, All-Knowing).”
    [surah al-Baqarah, 2:261]

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...