Miss Valentine 2010 Aziza Ismail akijiweka tayari
kukabidhi taji kama anavyonadiwa na MC Lady Judy.
Mr na Miss Valentine 2011 Katika kinyang'anyiro hicho Mariam Keegan alinyakuwa taji la miss Valentine 2011 na kwa upande wa kina baba Mr TJ au Tony James alinyakuwa mr Valentine 2011. kwa picha zaidi tembelea blog ya jumuiya ya watanzania Italia
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tuachane na dhana za kizamani za kuamini kuwa mapenzi yanatoka moyoni; yanatoka ubongoni!

    Nani anabisha?

    Unaweza kupewa moyo wa mashini au wa tumbili (ref. Baby Fae Loma Linda Hospitali - Hospitali ya wa-Sabato).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...