Natumai bwana Ankal na wadau wa Globu ya Jamii m wazima? Hapa nimeona nishee na wakereketwa wengine mambo mazuri ya kukumbukwa. Nilifanikiwa kupata picha ya S.S.C a.k.a Lunyasi wakati huo.Hii ilikuwa 1990 na pamoja kufuatilia kwangu soccer sina kumbukumbu ya majina yote. Je kuna watu wanweza kutatua utata ? Ni nani majina ya wachezaji waliopo katika picha.
Natumai bwana Ankal na wadau wa Globu ya Jamii m wazima? Hapa nimeona nishee na wakereketwa wengine mambo mazuri ya kukumbukwa. Nilifanikiwa kupata picha ya S.S.C a.k.a Lunyasi wakati huo.Hii ilikuwa 1990 na pamoja kufuatilia kwangu soccer sina kumbukumbu ya majina yote. Je kuna watu wanweza kutatua utata ? Ni nani majina ya wachezaji waliopo katika picha.

duh, kipa ni mwameja, kushoto yake ni george masatu, wajuu yake ni hussen masha, wa tatu kutoka kushoto kwa ktk ni gebo peter, NAWAKUMBUKA HAO TU NA PIA SINA UHAKIKA.
ReplyDeletehuwa sipendi kukosoa sana watu lakini napenda kuweka kumbukubu sawa hii sio simba ya mwaka 1990 itakuwa ya kuanzia mwaka 1992 au 1993.kwa kuwa 1990 simba walikuwa na mastaa hawa HAMIS THOBIAS GAGARINO,ZAMOYONI MOGELLA,MEKENZIE RAMADHANI,MAVUMBI OMAR,DEO NJOHOLE OCD,METHOD MOGELLA,EDWARD CHUMILA,ALLY YUSUPH CHABALLA,TWAHA HAMIDU,NA YA 1991 ONGEZA KASANGA BWALYA,IDD PAZI, ITUTU KIGI,HASSAN AFIFU,JAMHURI KIWELU MREMA,KHALFAN NGASA,AYUBU MZEE,SASA HAPO NAWAONA AKINA MWAMRJA AMBAE ALIKUJA 1992,DAMIEN MRISHO KIMTI,MASHA,GEBO PETER,KASONGO ATHUMANI.NK.
ReplyDeleteOCD
DUUUUUU!...hiki ni kikosi kilichotwaa ubingwa wa afrika mashariki mara mbili....,hapo juu ni bila kumsahau MALOTA SOMA "Ball Jugler",Madaraka Selemani" mzee wa kiminyio", nduguye IDDI SELEMANI,TWAHA HAMIDU,RAPHAEL PAUL"the road patrol",...kikosi hicho kamisi Ramadhani Leny..aliyefariki kipindi cha miaka ya 94...,Gagarino ndio alikuwa ameanza kudrop..hasa kutokana na kinywaji...ndo maana mnamuona Huseein Marsha hapo....aliyesajiliwa haraka kuziba pengo la GAGA na method mogella aliziba pengo la Japo hakukaa sana...kulikuwa na dogo mmoja aliyekuwa akiitwa HUSSEIN MACHELA...hapo..na ndio kipindi pia JOHN MAKELE alikuwa anamalizia malizia makali yake..!
ReplyDeleteHapo mfadhili mkuu alikuwa AZIM DEWJI,akisaidiwa na kina AHEMD BORA...nduguye SHAFIE BORA wa majimaji....[hapo inafanya nimkumbuke na KAKA wa TUKUYU STARS]...,...MRATIBU wa timu alikuwa JABIR ALI SHIKAMKONO.....na super chairman..SHEIKH AMIRI ALI "bamchawi"...makamu ..mzee GHULLUM..,na kina FAKHRUDIN AMIJEE...
Octavian Mshiu.
braza mbona yanga huwaweki hata picha moja
ReplyDeleteKweli OCD,hii itakuwa baaada ya 1990,kwani kama ulivyotaja akina Hussein Marsha na Masatu walikuwa Pamba mwaka huo.
ReplyDeleteNYUMA-idd pazi,issa kihange,fikiri magoso,george lucas nyeo*GAZA*,idd selemen,ally machella,
ReplyDeleteKATI-gebo peter,michael paul,husein masha,alfred kategile,hamza maneno
MBELE-deo njohole,joseph lubisha,damian kimti,moh mwameja,kasongo athuman,twaha hamidu.ZANZIBAR AMAAN STADIUM 1992
MASIMBA