Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu MANYAMA RUHUMBIKA kwenda kwao musoma inafanywa nyumbani kwa marehemu.
Habari ziwafikie wanafunzi wote wa KIU,marafiki,ndugu na jamaa popote walipo.
Tunaomba tushiriki kikamilifu katika msiba huu wa rafiki yetu,ndugu yetu na jirani yetu katika safari yake ya mwisho
Asanteni
Wadau,
BBA students-Kampala International University(KIU)-DSM Campus
We will miss you brother.
ReplyDeleteRIP
Poleni ndugu zetu tuko pamoja nanyi katika wakati huu mgumu, Mungu awatie nguvu, Amen
ReplyDelete