All pictures by Prosper Minja of Bunge
WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE
Wah. Augustine Mrema, Edward Lowassa, Peter Serukamba na January Makamba, ni miongoni mwa sura mpya zilizoukwaa uenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge.
Kamati hizo ziliundwa jana bungeni mjini hapa ambapo Mbunge wa Vunjo, Mrema (TLP) alipewa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, huku Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli (CCM) akipewa ya Ulinzi na Usalama iliyokuwa ya Wilson Masilingi Bunge lililopita ambaye sasa si Mbunge. Mrema atasaidiwa na Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan (CCM).
January, ambaye ni Mbunge wa Bumbuli kwa tiketi ya CCM, anakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini, awali ikishikilikwa na William Shelukindo katika Bunge la Tisa.
Habari kamili nenda HabariLeo
BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...