Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo nchini (SIDO),Mike Laiser akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi Muungano wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) katika ukumbi wa bustani za Hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar usiku huu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo nchini (SIDO),Mike Laiser akiwa katika mazungumzo na Afisa wa Mfuko wa Kimataifa kwa ajili ya Maendeleo ya Kilimo nchini (IFAD),Mama Mwatima Juma mara baada ya uzinduzi wa mradi wa Muungano wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) katika ukumbi wa hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar usiku huu.
Baadhi ya wadau wa waliohudhuria uzinduzi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mnamaliza mapesa bure hapo hotelini...mngekutana kijijinikwa mlengwa!

    Pesa Amerika inazotoa kwa misaada huingiza 25% zaidi ya hizo kutokana na hiyo misaada!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...