Mbwana Samata akishangilia bao la kwanza alililoifungia timu yake pamoja na wachezaji wenzake. Kulia ni Nico Nyagawa na aliyembeba ni Amri Kihemba.
Mshambuliaji wa Simba, Mbwana Aamata akiipangua ngome ya Mtibwa Sugar.
Mshambuliaji wa Simba, Shija Mkina akimiliki mpira mbele ya golikipa wa Mtibwa Sugar huku akiwa na kipa Omary Ally wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jioni hii. Simba ilishinda 4-1 Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ankal Michuzi tunaomba utuwekee na picha za matyokeo ya jana ya Liverpool Bwawa la Maini. Lakini habari ni:
    West Ham United completed a stunning 3-1 victory against Liverpool, with captain Scott Parker opening the scoring to lift the Premier League strugglers off the foot of the table. Goals from Demba Ba and Carlton Cole sandwiched a Glen Johnson strike as the East Londoners grabbed a vital three points in the battle against relegation.

    ReplyDelete
  2. hongera mnyama wembe ni ule ule!

    ReplyDelete
  3. Hivi nilikuwa nabishana na mwenzangu hapa waheshimiwa wadau, uwanja wa Uhuru ni uwanja gani..??? Ni uwanja wa Taifa au ni uwanja wa shamba la bibi, wa hapo Benjamini mkapa secondary..?? Na kama uwanja wa uhuru ni uwanja wa Taifa, ulibadirishwa jina au???

    Thank you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...