Mratibu wa Programu kutoka Hands of Africa Foundation Joseph Magutu (kushoto) na Paul Masanja Mtendaji Mkuu wa shirika hilo (kulia) wakiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) msaada wa mafuta ya kuzuia mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) . Msaada huo ambao ni mafuta ya watoto na watu wazima unathamani ya shilingi milioni 8.2 umetolewa na shirika rafiki la Society for Threatened People la nchini Ujerumani utapelekwa kwa Albino wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na mikoa mingine jirani na wagonjwa wa saratani wenye ulemavu wa ngozi walioko katika Hospitali ya Ocen Road.
Mratibu wa Programu kutoka Hands of Africa Foundation Joseph Magutu (kulia) akikabidhi msaada wa mafuta ya kuzuia mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kwa Stamili John (kushoto) mkazi wa Kongwa mkoani Dodoma ambaye amelazwa katika Hospitali ya Ocean Road iliyopo jijini Dar es Salaam kwa ajilia ya tatizo la kansa ya ngozi. Msaada huo ambao ni mafuta ya watoto na watu wazima wenye thamani ya shilingi milioni 8.2 umetolewa na shirika rafiki la Society for Threatened People la nchini Ujerumani utapelekwa kwa Albino wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na mikoa mingine jirani na wagonjwa wa saratani wenye ulemavu wa ngozi walioko katika Hospitali ya Ocen Road.Baadhi ya waandishi wa habari wakiangalia mafuta ya kuzuia mionzi ya jua kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) . Mafuta hayo ambayo ni ya watoto na watu wazima ni msaada kutoka shirika rafiki la Society for Threatened People la nchini Ujerumani una thamani ya shilingi milioni 8.2 utapelekwa kwa Albino wa mkoa wa Kilimanjaro pamoja na mikoa mingine jirani na wagonjwa wa saratani wenye ulemavu wa ngozi walioko katika Hospitali ya Ocen Road.Picha na Anna Nkinda - Maelezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...