Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watendaji waandamizi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma leo jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake katika Ofisi hiyo kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa malengo mbalimbali waliokabidhiwa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza watendaji waandamizi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma leo jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake katika Ofisi hiyo kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa malengo mbalimbali waliokabidhiwa. Rais Kikwete aliwaagiza kuharakisha zoezi la kuhakikishi watumishi wa umma nchini kote ili kuokoa fedha za umma zinapotea kutokana na mishahara hewa na wahusika kuchukuliwa hatua.
Baadhi ya watumishi wa wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia kwa makini maagizo ya Rais Kikwete( hayupo pichani) leo jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake katika Ofisi hiyo kwa ajili ya kujionea utekelezaji wa malengo mbalimbali waliokabidhiwa. Rais Kikwete aliwaagiza kuharakisha zoezi la kuhakikishi watumishi wa umma nchini kote ili kuokoa fedha za umma zinapotea kutokana na mishahara hewa na wahusika kuchukuliwa hatua. Picha zote na mdau Tiganya Vincent - MAELEZO

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...