Meneja Utawala wa Kampuni ya Ulinzi ya Aurora, Diana Palmen (katikati) akimkabidhi sehemu ya fulana 100 Mratibu wa Tamasha la Uzalendo, Juma Mbizo, ikiwa ni mchango wa kampuni hiyo katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumamosi katika viwanja vya Biafra

Kinondoni jijini Dar es salaam. Anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Msimamizi wa Walinzi wa kampuni hiyo, Lotty Hhanndo. Makabidhiano hayo yalifanyika mapema leo katika ofisi za kampuni hiyo zilizoko Msasani, jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...