Wasanii 22 wamechaguliwa kuunda timu itakayo tengeneza Album inayoitwa "KI SONO" au "WHO I'M".Baada ya mchakato wa Casting uliodumu kwa miezi miwili na kuwachuja wasanii wengi sana walijitokeza kuwania nafasi hiyo yakushiriki katika Album compilation hiyo kabambe.

SEE RECORDS iliyopo mjini Napoli inakukutana na wasanii wote siku ya jumamosi tarehe 26/03/2011. Siku hiyo pia kutakuwepo na vyombo vya habari magazeti na redio. Uongozi wa SEE RECORDS unapenda kuwatangazia wasanii wa KITANZANIA ,KENYA na UGANDA kuwa bado wana nafasi ya kushiriki ingawa CASTING imekwisha. Uamuzi huo wa kuwapa nafasi wasanii wa East Africa uliamuliwa na management ya SEE RECORDS.

Album ya KI SONO inashirikisha wasanii wa Hip hop na RnB kutoka mataifa tofauti, ITALIA,GHANA, NIGERIA, TANZANIA,SENEGAL,BULGARIA,CAPE VERDE,DOMINICANA,USA na TOGO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...