AY akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa BANGAROLE muda mfupi uliopita na kupokewa na wadau wa huko. Show yake atapiga ndani ya Blue Waves Bangarole leo usiku, kisha tarehe 5th atakamua mjini Hyderabad.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Vijana wa Bangalore mnapiga show siku ya chuo!!!!!kweli kuna kusoma kweli?
    Bora ya vijana wenzenu wa Hyderabad City Andra Pradesh wanapiga weekend.
    Kuleni maisha kuondoa stress.

    ReplyDelete
  2. eh!Bwana kubwa AY karibu sana Mumbai..tafadhali usikose kuja
    kupiga show chuoni kwetu,matangazo tushaanza kuweka madarasani,pia nitakupa deal kupiga katika chuo kingine hapa...na pia nitakupa mchumba wa kidostan
    sisi wote dugu moja
    Punsh Khanjibhai

    ReplyDelete
  3. Duh bwana AY huo mbegi aiseee,unakaa siku ngapi kwani huko?
    Na hawa vijana wa huko India wamezidi kwa hizo show zisizoisha jamani...
    kila mwezi show,mhhh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...