Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hawa Chadema ndio waliosababisha kushuka kwa Thamani ya Fedha ya Tanzania kwa maandamano yao. Sijui tuwafanyeje?

    ReplyDelete
  2. hawa ni CHADEMA tu ndo maana Shs yetu imeporomoka! Hata sukari kupanda BEI hadi shs 2000/= ni CHADEMA!Hata huu Ukame wa mvua ni CHADEMA! hata huu UFISADI wa Fedha zetu ni sababu ya CHADEMA! UUUWIIIIIIIIII!IKO SIKU TUTAAMBIWA HATA MASHETANI NI CHADEMA!!!

    ReplyDelete
  3. huyo alieandika hapo juu ajipeleke mwenyewe kwenye wodi ya vichaa anastahili kuwepo huko maana anaishi katika dunia gani sijui

    ReplyDelete
  4. Spragga (Ngoka)March 02, 2011

    Wadau naomba msaada hapo kwenye viwango vya kuuza na kununua. Bei ya $ inanunuliwa kwa bei tofauti tofauti kulingana na kiwango cha $ yenyewe (100, 50, 10 ...). Lakini upande wa kuuza wanauza kwa fixed price viwango vyote vya $. Je hii ni sawa?

    ReplyDelete
  5. The two opinions raised first in this issue are distorting the whole issue. The economic probs facing the country at the moment are due to various reasons. I think the author is short sighted to think that one is blaming somebody for that UNLESS a vivid proof is given. The statement given resemble an uncultured, an uninformed person full of hatred to the particular political party mentioned. Why not blame those in power just as an example??? Econobase

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...