Home
Unlabelled
BEI YA MADAFU LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa Chadema ndio waliosababisha kushuka kwa Thamani ya Fedha ya Tanzania kwa maandamano yao. Sijui tuwafanyeje?
ReplyDeletehawa ni CHADEMA tu ndo maana Shs yetu imeporomoka! Hata sukari kupanda BEI hadi shs 2000/= ni CHADEMA!Hata huu Ukame wa mvua ni CHADEMA! hata huu UFISADI wa Fedha zetu ni sababu ya CHADEMA! UUUWIIIIIIIIII!IKO SIKU TUTAAMBIWA HATA MASHETANI NI CHADEMA!!!
ReplyDeletehuyo alieandika hapo juu ajipeleke mwenyewe kwenye wodi ya vichaa anastahili kuwepo huko maana anaishi katika dunia gani sijui
ReplyDeleteWadau naomba msaada hapo kwenye viwango vya kuuza na kununua. Bei ya $ inanunuliwa kwa bei tofauti tofauti kulingana na kiwango cha $ yenyewe (100, 50, 10 ...). Lakini upande wa kuuza wanauza kwa fixed price viwango vyote vya $. Je hii ni sawa?
ReplyDeleteThe two opinions raised first in this issue are distorting the whole issue. The economic probs facing the country at the moment are due to various reasons. I think the author is short sighted to think that one is blaming somebody for that UNLESS a vivid proof is given. The statement given resemble an uncultured, an uninformed person full of hatred to the particular political party mentioned. Why not blame those in power just as an example??? Econobase
ReplyDelete