Tiba inayoendelea kutolewa dhidi ya Magonjwa Sugu na Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile katika kijiji cha Samunge wilayani Loliondo kilomita 450 kutoka Arusha mjini, kaskazini mwa Tanzania, imewavutia maelfu ya watu wanaosumbuliwa na Magonjwa hayo.Tiba hiyo inayotokana na mti shamba, inasemekana kutibu magonjwa ya Ukimwi, Saratani, Kisukari, Shinikizo la Moyo na mengine mengi.
Mwandishi wa BBC Ben Mwang'onda amefika katika kijiji hicho
Kuona na kusikia video yake


inawezekana babu kuweza kutibu ma elfu ya watu bila kupungukiwa iyo dawa. wakati serekali wenyewe wanakuwaga na upuguvu wa madawa.
ReplyDeletekwa kama unasema Mungu anaweza yipi la kushangaza mbele yake?M.Mungu Mwanadamu kama ufikiriavyo,hivyo majibu yote kwake utapata ulitakalo,hivyo kushangaa ya wanadamu kawaida ila M.Mungu ukiyashanga nawe watakushamgaa,kuza imani yako kuwa M.Mungu yupo na anaweza kila jambo.
ReplyDelete