

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tukubali tusikubali `chanda chema ndio huvikwa pete...'
ReplyDeleteHAPO ZAMANI ZA KALE TULIKUA NA CINEMA ZETU YA FIMBO YA MYONGE NA KINA YOMBAYOBA LAKINI BADO TULIKUA TUNANGALIA FACTURE FILM,CINEMA ZA OMO,TUNAGOMBANIA TICKET,EMPIRE NK,KUWAONA KINA TOHNY KING,JIMY KELLY,PAM GRIER NK,KUTOKANA NA UBORA WAKE NA PIA KUJIFUNZA KWA WENZETU WALIOENDELEA.KUANGALIA LIGI ZA ULAYA SIO TANZANIA,KARIBU NCHI ZOTE ZA DUNIA YA TATU ZINASHABIKIA LIGI HIZO HAZA YA UINGEREZA KUTOKANA NA UBORA WAKE.PIA TUKUBALI TIMU ZA ULAYA ZINA UCHEZA MPIRA,TIMU ZETU ZINA UFUKUZA MPIRA.
ReplyDeleteHabari za leo kaka michuzi na pole kwa mapigano ya kutwa nzima
ReplyDeletekaka michuzi mimi ni mdau wa nchini uholanzi nina ombi langu
tafadhali niwekee hichi kiblog changu nilichoanzisha ili wana jamii waweze kukiona na itakuwa vyema zaidi ikiwa utakiweka kwenye blog list zako.
Asante sana
mpenzi wa blog ya jamii ya ankali misupu wa libeneke oyeeeee
www.bongonl.blogspot.com
ukweli ni kwamba bado bongo hatujasogea mbele. na hapa si soka tu maana hata hizo muvi za bongo duu? anyway, kuhusu soka kaka, wabongo vichwa vigumu hata aje morinyo kufundisha nchi nzima kwa sasa bado hakuna vipaji. ila polepole ndo mwendo tutafika siku moja.
ReplyDeleteJamaa hakukosea lolote labda lugha aliyotumia ilikuwa si nzuri.Tatizo la wabongo hatukubali kuambiwa ukweli hasa na weusi wenzetu. Jamaa kama angekuwa Mzungu wengi wangeuona ukweli.
ReplyDeleteMimi binafsi napenda sana kuangalia Premier League (Arsenal)lakini huwa najiuliza hili swali. Tofauti ni kuwa nipo Ughaibuni bila kupiga box sitoweza kuishi.
Lakini kwa bongo ni kweli kila kona unaona matangazo ya EPL na CL,kila daladala lina nembo za timu za Ulaya. Nakumbuka nilisoma ktk mtandao miaka michache iliyopita kuna timu za daraja la tatu(somewhere Dar) wachezaji walikacha kucheza mechi na kwenda kuangalia mechi ya MAN UTD/ARSENAL.Hii ni mifano halisi jinsi floaks of TV zilivyoathiri maisha ya mtanzania na muafrika kwa ujumla(maana haya yanatokea sehemu nyingi za Afrika.
Wabongo ulimbukeni huwa tunaupeleka BEYOND NEXT LEVEL.
MDAU UNA POINT KUBWA WA 2. SI AFRICA TU HATA MA BARA MENGINE SANA MPIRA WANAPENDA EUROPE.
ReplyDeleteILA TANZANIA KAMA HII TABIA YA KUKAA BAA MAUSIKU MNENE MKEO UNAMUACHA PEKE YAKE NYUMBANI HATA HAIJI KABISA HUFIKIRII KESHO KAZINI?
SAWA NA VIJANA KUWA MA DISCO MPAKA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI WAKATI JUMATATU KAZINI NDOMANA WANAZEEKA MAPEMA NA MIILI INAHARIBIKA.
JENGINE TANZANIA TUNAPENDA UPUMBAVU NA NDOMANA MA FASHION SHOW NA SHOW ZAKIJINGA NDIO TUNAENDEKEZA MBELE MTU ANAKAA KIJIWENI UMEONA MISS WA JANA? HATA HAWAPEANI MAWAZO YA KUINGIZA PESA AU KUENDELEZA FAMILIA AU UCHUMI WA TANZANIA NA VIPI KUREKIBISHA VIJANA.
TUNACHOWAZA UJINGA NA KUFURAHIA MTU KURUDI NYUMA. NI HAYO TU MICHUZI MIE MR MWAIPOPO.
Nafurahi wachangiaji wengine wameweza kutoa mawazo kama niliyokuwa nafikiria. Kwanza hili la kuangalia mipira ya ulaya, hata mimi nipo hapa US lakini wanapocheza Manu, Chersea, Liverpool na Arsenal kuna pubs nyingi hasa zenye asili ya Italy na Irish (kwenye kitongoji changu) huwa watu wanafurika kwenye bar. Hivyo timu hizi zina mvuto. Lakini tukirudi kwenye maoni ya msingi, si vyema watu kulala kwenye mabar kuangalia mpira. kama unauwezo huo wa kulewa kila siku, kwanini usiweke Dish kwako ukakaa na familia kuangalia mpira?
ReplyDeleteKuhusu waTZ kuiga, inasikitisha sasa hivi, ukiangalia magazeti au blog ni mambo ya mitindo na urembo!!! ya nini? Wenzetu wanaendekeza hayo sababu wametutangulia kwa kila kitu. On top of that ni pesa tena ya kutupa. Kwa nini tusielekeze nguvu katika kubuni njia ya kupata maji kwa kila mtanzania, Energy kwa kila kaya na hii itasaidia watu kuzalisha chakula zaidi, kuelimisha watoto kwa sana tu na hivyo kuleta maendeleo. Hizo pesa za mamodo kwanini zisitumike kuchimba visima vya maji au kununua solar kwa kila kaya yenye shida????
Tunapenda soka ya nje kwa sababu hatuna majukumu ya kutosha, pia tunapenda kuona vitu vizuri kwenye TV ingwa hatuna uwezo wa kuvipata. Tunapenda kuona vitu vizuri kwa macho lakini usitupe majukumu ya kuhakikisha tunafanya kazi kwa nguvu mpaka tunapata hayo maisha. Ni bota tukae mbele ya Tv kuliko kushika jembe. Jembe ni kwa watu ambao hawajaenda shule na hawana elimu. Hata waliosoma kilimo hawataki kwenda kijijini kila mtu anjuwa wapo wapi. Michuzi si tupo wote tunaangalia hii mipira. Hakuna kazi michuzi hii ndiyo kazi iliyobakia, hatuwezi hata kuuza madafu kwani ni unaynyasika tu na polisi wa mjini.
ReplyDeleteMichuzi hii hoja ni muhimu sana lakini nachopenda kusema ni kwamba GENERATION 2 ZIMEPOTEA HAPA. Tujiulize kosa ni la nani, sasa hivi maisha ni matabaka, kama huna pesa mtoto hatakwenda shule na kama atakwenda kwenye shule zetu za serikali ambapo ni wengi wanfeli. Shule za kata ambazo ni muhimu sana kwa jamii zetu hazina walimu. Na kam wapo wapo kufanya biashara zao. Wale wachache ambao wanjitahidi hawana kipato cha kutosha. Watoto wa viongozi hawaendi shule za kata. Ukipata 0 je ninani takuajiri?Hakuna shule za ufundi za kutosha, kila kitu ni mapka utowe pesa au kichakachuliwe, hao watoto wengi wa maskini watfanya nini zaidi ya kuangalia Mpira tena wa nje, watoto wa maskini hawana hata uwanja wa kuchezea kwani sehemu za uwanja zimejengewa na kama zipo wazi hawana haki ya kucheza hapo. Matokeo yake tunajamii ya kukaa tu? Hata ukiwaa kazi hawajui cha kufanya hicho ni tatizo pia. Kwani ukimwambia fanya hiki anaangalia jinsi ya kupata pesa aweke mfukoni kwake ili apate ya voucher.???????????? Ni nani andondosha taifa letu.
ReplyDeleteJamani hako ka TV mbona kama microwave vile? yaani kadogo sana watu wataumiza mamcho yao. hii ni TV ya mut kuangalia akiwa jikoni anapika sio kwenye BAR na viti kibao mtapofuka buree.
ReplyDeleteHalafu hapo hayo mageti(grill) kuna njia ya dharura ya kutokea hapo kama jambo baya lianza(e.g moto, open fire etc)?
Kwanza kabisa mimi naona tuangalie hii issue kiundani.
ReplyDeleteJambo la kwanza kwanini sasa kuna huu ulimbukeni wa walala hoi wanaopoteza muda kuangalia mpira??
Let me tell you, Kuna mchakato maalumu wa kuwalostisha au kuwapoteza vijana wa kitanzania kimawazo. Wakiwa wamezubaa na hawajali maendeleo wala haki zao na focus yao ni mpira.
Kwanza maana ya mlala hoi - ni mtu ambaye amezibiwa ridhiki na haki zake. Kimawazo na kiuchumi amedanganywa.
VITU AMBAVYO VINATOKEA UKIPENDEKEZA SOKA YA ULAYA NA NI NANI ANANUFAKIA??
MCHINA - huyu ndio mtu anayenufaika kwa kuingiza jersey, keychains na vitu vingi vya timu ambavyo ni fake. Wewe kama mlala hoi (yes mlala hoi) ukishanunua hilo taulo fake la manchester au jersey huyo mchina anapeleka hiyo hela yake china.
Haendi bar na kula bata wala kula mbuzi... wewe uneona lini mhindi au mchina yupo bar moja na wewe anaangalia manchester.
Sasa , wewe unavyopeleka hiyo hela yako uliyoitokea jasho kwake unaua uchumi wa nchi yako mara tatu.
Moja - kununua mali ambazo fake na hazikulipia kodi.Hii inasababisha huduma zako kama mwananchi usipate. Pesa hamna serikalini.
Mbili- Unapoteza muda wako kwa kuangalia mechi au kufuata mkumbo. Ungejifuza kusoma au kuandika basi. Ungetafuta kazi ya pili baada ya kuwa mvivu. Samahani mimi naongea kimarekani (English) sana yaani najitahidi kuandika kiswahili.
Tatu - Hii ni propaganda.. Vijana wake up!! Kuangalia mpira kunaleta life style ya uvivu na ndoto za abunuwasi.
Wewe hata choo cha kuflush huna unawaza manchester.
Sasa turudi kwenye topic, yaani kwenye mada.
Kuna baadhi ya mashirika yananufaika kwa kijana wa kitanzania akikaa bar na kuangalia mechi. Kwahiyo , ni muhimu kwa wao kuhakikisha kwamba wewe unakaa masaa sita bar kabla hujafika nyumbani kwa mkeo.
Mashirika ya Beer, ndio na mengi sio ya watanzania tena. ni ya watu wa south africa na ulaya. Kampuni ya sigara ambayo si ya watanzania bali ni ya japani sasa.. ndio.. nimesema na michuzi usitoe hii .. sijaona kama hawa ni sponsors wako.
Vijana wa kitanzania ni wavivu sana. yaani basi tu. Kitu kingine naona ni uvivu ambao unatokana na kutokua na uhamasishaji.
Nafikiri muda umefika kwa jeshi na sungunsungu kuwa mandatory.
Acheni uvivu.
MWANAJESHI
Tatu -
I second you @ 7:15 pm......
ReplyDeleteThat says everything without education there is no hope...but we are doomed for life so are those rich people in TZ. Without information people are ruled by superstition. In one way or another those rich people will hire those uneducated/forgettable poor children to do a certain job but who will loose when you hire a less educated person? Don't you see how poor quality we have in each and everything made in TZ? From products to service all are of less quality ...Even one to do a good customers service is a miracle in TZ. Why ? b'se they are less educated and don't know the value of just having a J.O.B and never taught to be proud and do with pride anything that makes a living but also don't forget many companies fail to recognize the difference between employee/process productivity and quality of output. What anything good are you expect from an employee who spent the whole night watching soccer?
Another thing to keep in mind is that democracy needs informed people..There is no real democracy if majority of the people are non educated or under educated..So whatever we think we have we have nothing and it is sad...... so sad...
Nothing hii niburudani kama ilivyo burudani nyingine msipennde kulaumu pasi sababu za msingi jambo lenyewe nilakawaia mnno nani asiyejua kwamba ulimwengu mzima mpira wa miguu ndio unao ongoza kwa kuwa na mashabiki wengi nani anabisha? kwahiyo watanzania wasilaumiwe kwa kupenda soka ya nje kihivyo kama hao viongozi wa soka,wadau pamoja na serikali kama hawako makini kuendeleza huo mchezo unadhani nani ataupenda? na sijapezwa na kauli aliyo itoa mleta mada kwamba wanapoteza muda mwingi kuangalia mpira je anaweza akatupa takwimu kwamba ni masaa mangapi wanayo poteza?
ReplyDeleteYeah ulimwengu mzima say it to americans..Mimi nasoma humu kwenye bog ..I wa not aware at all kuwa kuna sijui kombe gani linaendelea sasa hivi hapa nai maarch madness all college basketaball ndio inaongelwa..Halafu hata kama ni kuangalia mpira record halafu watch it at you own leasure time sio unakesha kwenye baa halafu wkesho unaamkia kazini...Huku michezo ipo kila siku na kama umshabiki wa michezo basi utaanzia tennis tournaments, football, basketball, hokey race cars just to name the few lakini hawaangalii usiku wa manane na kesho yake kwenda kazini. Mtu akiwa off ndio anakesha...na pia wakienda kuangalia hizo game wanaenda na wake zao wa bongo waone hapo wote wanaume wameacha wanawake zao wenyewe nyumbani...Mende wakiwang'ata sijui utamlaumu nani? Yaani kuna wengine wameshasahau kuwa nawa wake nyumbani na majukumu mengi...lakini hii ni tabia ya wanaume wa kibongo wasipolala bar kuangalia mpira watatafuta sababu just kukaa nje kun'aa n'aa macho ...tamaa nyingi sana...lakini siku hizi hata wanawake wameamka wee kalia kuangalia mpira au sijui unazurura huko mitaani wenzako wanajipakulia chakula mboga ikiisha usilamu mtuuuuuuuuuuu
ReplyDelete