Timu ya Chipukizi FC (bluu) imeibanjua timu ya Black Eagles (nyeupe) magoli 4-2 katika mfululizo wa michuano ya kombe la Pasaka inayoendelea katika uwanja wa Bora – Kijitonyama. Kwa mujibu wa mratibu wa mashindano hayo Kiki De Kiki mechi za mashindano hayo hufanyika kila Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na mshindi ataibuka na jezi zenye thamani ya shilingi 250,000/.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...