''You walked into my world,and took residence in my soul,
You make my heart flutter ,
With what ever you do and every word you say
I will tell you this from the bottom of my heart
You mean everything to me
You are everything to me
I will forever keep loving you
Happy birthday sweet Husband

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Jesus!

    Hope you say the same after 4 kids and 10 years of marriage!

    ReplyDelete
  2. Mumeo analipa! Wewe mu advertise tu humu uone manungaembe watakavyomsarandia

    ReplyDelete
  3. Handsome, Babu wewe!!!. Mungu akutunzie muzae njike na ndume. Alichokupa Mungu hakwambii atakapokunyanganya, ila ukitunze tu kisije kikakupokonyoka, Fisi wapo ukipunga ovyo mkono wao.

    ReplyDelete
  4. kama ananalipa kwa hiyo?, nanyie manungayembe si mtafute wa kwenu wanaolipa, kisa na mkasa asimuonyeshe mumewe hapa kama anampenda kwa kuwaogopa nyie manungayembe, mumpishe huki babuu...

    ReplyDelete
  5. anony thu mar31, 11:39:00 AM 2011
    siku hizi kuna photopoint, hata kama mtu halipi, picha yake italipa tu.

    ReplyDelete
  6. hakuna cha kulipa jamani ni teknolojia ya picha tu, hata kama unafanana kama marehemu Remmy (rest in peace) bado picha yako itatengenezwa utakuwa babu kubwa....

    anyway do we look for beauty in man?? c'mon

    ReplyDelete
  7. Happy birthday to your husband...mbona jina umeficha na hata hakuna mtu anayemtambua humu? Watu wote wnaopitia hii blog kila kona ya dunia na hata hakuna aliyesema jamani fulani huyu...duh au sio mbongo huyu? Shemeji yetu ameshatambulishwa nyumbani kweli?

    ReplyDelete
  8. happy birthday mkaka........ wee demu flani ebu acha kutunanga humu hakuna cha nungaaembe wala nunga nanasi tutabanana na nyinyi kama kawa!

    ReplyDelete
  9. Sasa mbona hukumtaja jina? Kama unafanya siri mbona umemtoa picha hadharani? Ina maana unafanya siri hadharani???!!!!!! Upande mmoja unataka siri, upande mwingine unataka hadhara, Da!

    ReplyDelete
  10. tumesema analipa. wewe ndo umesema beuty. tukuulize wewe sasa. hacha wivu

    ReplyDelete
  11. Mjadala unafurahisha kweli.
    Kitu cha kishujaa alichokifanya huyu Dada ni kumuambia huyo husband wake kuwa anampenda. Wengine huwa tunachukulia kuwa aah si anajua kuwa nampenda yanini kumuambia.
    Nia iko moyoni lakini inathibitishwa na matendo ikiwemo kauli. We dada uliyeficha jina lako Mungu akutunzie mmeo.

    Mdau
    Maganga feruzi

    ReplyDelete
  12. hee boi fulendi wangu enzi ya chekechea jamani!happy birthday DAVID!

    ReplyDelete
  13. andunjeeee tu, analipa lakn

    ReplyDelete
  14. lov is more than sweet when the couples match.best of luckiz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...