Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa mai hazband wa mdau leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jesus!
ReplyDeleteHope you say the same after 4 kids and 10 years of marriage!
Mumeo analipa! Wewe mu advertise tu humu uone manungaembe watakavyomsarandia
ReplyDeleteHandsome, Babu wewe!!!. Mungu akutunzie muzae njike na ndume. Alichokupa Mungu hakwambii atakapokunyanganya, ila ukitunze tu kisije kikakupokonyoka, Fisi wapo ukipunga ovyo mkono wao.
ReplyDeletekama ananalipa kwa hiyo?, nanyie manungayembe si mtafute wa kwenu wanaolipa, kisa na mkasa asimuonyeshe mumewe hapa kama anampenda kwa kuwaogopa nyie manungayembe, mumpishe huki babuu...
ReplyDeleteanony thu mar31, 11:39:00 AM 2011
ReplyDeletesiku hizi kuna photopoint, hata kama mtu halipi, picha yake italipa tu.
hakuna cha kulipa jamani ni teknolojia ya picha tu, hata kama unafanana kama marehemu Remmy (rest in peace) bado picha yako itatengenezwa utakuwa babu kubwa....
ReplyDeleteanyway do we look for beauty in man?? c'mon
Happy birthday to your husband...mbona jina umeficha na hata hakuna mtu anayemtambua humu? Watu wote wnaopitia hii blog kila kona ya dunia na hata hakuna aliyesema jamani fulani huyu...duh au sio mbongo huyu? Shemeji yetu ameshatambulishwa nyumbani kweli?
ReplyDeletehappy birthday mkaka........ wee demu flani ebu acha kutunanga humu hakuna cha nungaaembe wala nunga nanasi tutabanana na nyinyi kama kawa!
ReplyDeleteSasa mbona hukumtaja jina? Kama unafanya siri mbona umemtoa picha hadharani? Ina maana unafanya siri hadharani???!!!!!! Upande mmoja unataka siri, upande mwingine unataka hadhara, Da!
ReplyDeletetumesema analipa. wewe ndo umesema beuty. tukuulize wewe sasa. hacha wivu
ReplyDeleteMjadala unafurahisha kweli.
ReplyDeleteKitu cha kishujaa alichokifanya huyu Dada ni kumuambia huyo husband wake kuwa anampenda. Wengine huwa tunachukulia kuwa aah si anajua kuwa nampenda yanini kumuambia.
Nia iko moyoni lakini inathibitishwa na matendo ikiwemo kauli. We dada uliyeficha jina lako Mungu akutunzie mmeo.
Mdau
Maganga feruzi
hee boi fulendi wangu enzi ya chekechea jamani!happy birthday DAVID!
ReplyDeleteandunjeeee tu, analipa lakn
ReplyDeletelov is more than sweet when the couples match.best of luckiz
ReplyDelete