Home
Unlabelled
Japan yaipiga jeki tanzania kukarabati njia za usambazaji umeme
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
du kwa kweli kutoa ni moyo usambe ni utajiri. yaani jamaa wajapani pamoja na kasheshe zoote kwao lakini bado tu wanatukumbuka wamatumbi duu!!
ReplyDeleteMungu awasaidie wajapani. najua watu watasema may be wanania zao lakini sidhani.
mimi nawapa big up sana tu wanasaidia sana hawa jamaa.
Mimi nina swali. Japani wamepigwa na Tsunami hata mwezi haujapita. Mashirika mbalimbali ya kitaifa na kimataifa yanatoa harambee kuisaidia japani kukabiliana na maafa ya tsunami. Swali ni hivi, japani ina uwezo gani wa kutoa misaada ingali wao wenyewe wanahitaji msaada? Hii misaada ina masharti gani? Tusije angalia tunaweza rudishwa enzi za utumwa. Hoja zinakaribishwa.
ReplyDeleteMdau kwa obama.