Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na utalii wakati alipofanya ziara yake ya kukazi wizarani hapo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi pamoja wafanyakazi wa Wizara ya maliasili na utalii wakati wa ziara yake ya kikazi Wizarani hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kikwete na 'Wachakachuaji' wa VITALU! wape dozz zao kaka Kikwete!

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa hongera sana na Mwenyezi Mungu akujaalie wepesi, ila pia watendaji wako pia wasisitize wasikuangushe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...