Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo kwenye ubalozi wa Japan jijini Dar es Salaam kufuatia janga la Tsunami lililosababisha vifo vya maelfu ya watu huko Japan hivi karibuni.Pembeni ni balozi wa Japan nchini Tanzani Hiroshi Nakagawa.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Japan nchini Tanzania Hiroshi Nakagawa muda mfupi baada kuweka saini kitabu cha maombolezo kwenye ubalozi wa Japan uliopo jijini Dar es Salaam leo jioni(Photo by Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tuonyeshe basi kama ile ya Mkapa mzee wa libeneke

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...