Marehemu Asha Nasibu Shefa
enzi za uhai wake


Siku ya Jumamosi ya Tarehe 19 March tutakuwa na kisomo cha kumuombea Mama yetu marehemu Asha Nasibu Shefa kitakachofanyika huko Stockholm, Sweden. Watoto wa Marehemu Viwe na Fatuma watakuwa wamesharudi kutoka nyumbani Tanzania. Kisomo kitaanza saa tisa mchana huko Vista skolan (Hagebyvägen 25 Huddinge).

Ukitokea Huddinge Station unachukuwa Bus No. 714. Kwa wanaoendesha kutokea Huddingevägen ingia Glömstavägen 259 halafu ingia kulia kwenye round about simama Vista Skolan.

Tafadhali Mfike kwa wakati
Kwa maelezo zaidi (0704671940)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema; poleni wafiwa - watoto, ndugu na jamaa wote.

    ReplyDelete
  2. Inshaallah,May Almighty God Rest Her Soul In Eternal Peace!

    ReplyDelete
  3. Viwe na Fatuma poleni sana. Mola amweke mama (Bi Asha) mahali pema peponi. Amin. Eddy DSM (formerly wa Upsala).

    ReplyDelete
  4. NAONGEZEA KATIKA TANGAZO HILI KWAMBA WOTE MNAKARIBISWA. MUNGU AMLAZE MAMA YETU MAHALI PEMA PEPONI
    AMIN

    ReplyDelete
  5. Inalilah wainaillah rajiun....Allah amlaze mahala pema peponi.....poleni Viwe, Fatma, Athman na wote....mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu...

    ReplyDelete
  6. Hakika yeye ni Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.Mungu ampumzishe mama kwa amani,inshallah.Fatma Shishira,Fatma Shefa na wengine wote poleni sana.

    ReplyDelete
  7. Poleni sana Fatma na ndugu zako wote nakumbuka tulikutana Agakhan wakati wa ugonjwa wa mama, Mwenyenzi Mungu ampumzishe kwa amani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...