Siku ya Jumamosi ya Tarehe 19 March tutakuwa na kisomo cha kumuombea Mama yetu marehemu Asha Nasibu Shefa kitakachofanyika huko Stockholm, Sweden. Watoto wa Marehemu Viwe na Fatuma watakuwa wamesharudi kutoka nyumbani Tanzania. Kisomo kitaanza saa tisa mchana huko Vista skolan (Hagebyvägen 25 Huddinge).
Ukitokea Huddinge Station unachukuwa Bus No. 714. Kwa wanaoendesha kutokea Huddingevägen ingia Glömstavägen 259 halafu ingia kulia kwenye round about simama Vista Skolan.



Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema; poleni wafiwa - watoto, ndugu na jamaa wote.
ReplyDeleteInshaallah,May Almighty God Rest Her Soul In Eternal Peace!
ReplyDeleteViwe na Fatuma poleni sana. Mola amweke mama (Bi Asha) mahali pema peponi. Amin. Eddy DSM (formerly wa Upsala).
ReplyDeleteNAONGEZEA KATIKA TANGAZO HILI KWAMBA WOTE MNAKARIBISWA. MUNGU AMLAZE MAMA YETU MAHALI PEMA PEPONI
ReplyDeleteAMIN
Inalilah wainaillah rajiun....Allah amlaze mahala pema peponi.....poleni Viwe, Fatma, Athman na wote....mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu...
ReplyDeleteHakika yeye ni Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.Mungu ampumzishe mama kwa amani,inshallah.Fatma Shishira,Fatma Shefa na wengine wote poleni sana.
ReplyDeletePoleni sana Fatma na ndugu zako wote nakumbuka tulikutana Agakhan wakati wa ugonjwa wa mama, Mwenyenzi Mungu ampumzishe kwa amani.
ReplyDelete