Mwenyekiti wa Veta, Prof. Idrissa Mshoro, akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Elimu na Ufundi Stadi Mhe. Philipo Augustino Mulugo kwenye Kongamano la Veta linalofanyika kwa siku mbili mjini Arusha.
-Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Eng. Zebadiah Moshi, (aliyesimama)akizungumza kwenye Kongamano la Veta mjini Arusha leo. Katikati ni mwenyekiti wa Veta Kanda ya Kaskazini, Frank Maro na Kulia ni M/Kiti wa Bodi ya Veta, Prof. Idrissa Mshoro.
Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Eng. Zebadiah Moshi, akizungumza na waandishi wa Habari toka vyombo mbalimbali vya habari kwenye Kongamano la siku mbili la Veta mjini Arusha.



What is VETA? Umeeandika weee lakini hukugusia hata kuelezea hiyo VETA ni nini? AS if wote tunajua habari yako sasa unamalizia tu...Uandishi huu wa habari ni wa haraka haraka...
ReplyDeleteHao VETA wasileta utani kwanza hawataki kutangaza USAJILI wa vyuo vilivyo sajiliwa na VETA ukanda wa dar es salaam huu ni mwaka wa 3 sasa tangia wamekagua vyuo vya ufundi mkoani hapa
ReplyDeletejamani mimi naona hiyo bodi imekosa kazi ya kufanya
ila ni kutafuta ulaji tuuuuu kupitia vikao na mikutano
TANGAZEKNI USJAILI HARAKA
HAMUONI AINU MIKA 3 WATU WANASUBIRI REGISTRATION
NA NYIE MNAVAA SUTI KABISAAAA ETI BOARD MEMBERS WA VETA