Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika uwanja wa ndege wa zamani Zanzibar baada ya kuwasili kutoka ziara ya Kiserikali Nchini Iran.(Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yaani nikiangalia ukubwa wa Zanzibar na shughuli za kimaendeleao zilizoko sioni kabisa umuhimu wa kuwa na rais, makamu wa kwanza wa rais, makamu wa pili wa rais, bunge, spika, naibu spika, baraza la mawaziri.....wakati hali iko hohe hahe....

    ReplyDelete
  2. Makamu wawili kinaeleweka sababu ya Serikali ya Umoja wa kitaif ila ambacho sielewi kwanini kuwe na makatibu wakuu na manaibu wake wakati waziri husika anaweza kufanya kazi za katibu mkuu.
    Hata wizara ziko nyingi sana kulinganisha na size ya Kisiwa chenyewe. Anyways, ndio mambo ya kupeana ulaji alafu wanapanda ndege kwenda nje kutafuta/kuomba misaada wakati tatizo ni kwamba matumizi ni mengi na wananchi hawajawezeshwa kujikwamua kiuchumi....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...