Majeruhi wa ajali ya Five Star wakiwa eneo la Bar ya Equator Grill iliyopo Mtoni kwa Azizi Ally ambako ndio ngome yao mara baada ya kuwasilia kutoka Hospitali ya mkoa wa Morogoro mchana huu ,miili ya wasanii 13 bado iko njiani kuletwa jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mazishi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Poleni watanzania wote na ndugu na jamaa wa wafiwa. yambele yao ya nyuma yetu, almight creater his there,

    ReplyDelete
  2. Inaikitisha sana ajali kila siku. Huyo aliyesimamisha gari lake na bila kuweka hata mishumaa kuonyesha kuwa kuna gari limesimama hapo ashitakiwe. Inatakiwa kuwafundisha madereva wetu sanaaana...Hii ni ajali ambayo ilitakiwa isipotee. Maisha ya watu yanapotea bila sababu....

    Viongozi mppoooooo huko bungeni tungeni sheria mpya za barabarani...Za kwetu tuuuu kwa vile za kitaifa tumeshindwa kuzifuata sasa inabidi tutungiwe sheria za barabarabni za wabongo tu...Madereva wanaendesha vibaya saaana tu na wengine gari likiharibika wala hajali kuweka vituvya kusidia wengine wajue iwapo ni usiku na abda mgari wake ulikua mweusi ni vigumu kujua kuna gari limesimama hata kama unatumia full lights na huko gizani hamna taa...

    RIP

    ReplyDelete
  3. This is too much jamani,ajali nyumbani kila siku,inafikia wakati hata kutoa maoni wengine tunachoka lakini hakuna jinsi,na madereva jaribuni kuwa makini achaneni na kuweka majani pindi gari inapoharibika.

    Na askari wetu kama hamjui jinsi ya kupambana na kupunguza ajali za barabarani basi igeni nchi za wenzetu wanatumia nyia zipi kupunguza ajali.

    innalillah waina ilaih raajiun:

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...