Home
Unlabelled
majeruhi wa five star wawasili jijini dar mchana huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni watanzania wote na ndugu na jamaa wa wafiwa. yambele yao ya nyuma yetu, almight creater his there,
ReplyDeleteInaikitisha sana ajali kila siku. Huyo aliyesimamisha gari lake na bila kuweka hata mishumaa kuonyesha kuwa kuna gari limesimama hapo ashitakiwe. Inatakiwa kuwafundisha madereva wetu sanaaana...Hii ni ajali ambayo ilitakiwa isipotee. Maisha ya watu yanapotea bila sababu....
ReplyDeleteViongozi mppoooooo huko bungeni tungeni sheria mpya za barabarani...Za kwetu tuuuu kwa vile za kitaifa tumeshindwa kuzifuata sasa inabidi tutungiwe sheria za barabarabni za wabongo tu...Madereva wanaendesha vibaya saaana tu na wengine gari likiharibika wala hajali kuweka vituvya kusidia wengine wajue iwapo ni usiku na abda mgari wake ulikua mweusi ni vigumu kujua kuna gari limesimama hata kama unatumia full lights na huko gizani hamna taa...
RIP
This is too much jamani,ajali nyumbani kila siku,inafikia wakati hata kutoa maoni wengine tunachoka lakini hakuna jinsi,na madereva jaribuni kuwa makini achaneni na kuweka majani pindi gari inapoharibika.
ReplyDeleteNa askari wetu kama hamjui jinsi ya kupambana na kupunguza ajali za barabarani basi igeni nchi za wenzetu wanatumia nyia zipi kupunguza ajali.
innalillah waina ilaih raajiun: