Home
Unlabelled
mapumziko baada ya kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli ni moja ya watu ambao wananisikitisha sana nikiwaona kazini. Hususan wakati wa msimu wa kiangazi. Kwa kweli afya za hawa kinamama kweli zipo hatari, huo mshahara wanaoupata watakuja kuutoa kwenye matibabu. Hivyo ningeshauri mwajiri wao awatafutie mashine za kufanyia hiyo kazi. Machine zinapatikana na bei yake haizidi ile ya shangingi.
ReplyDeleteNi jua kali la saa saba mchana, uhakika wa mlo wa mchana ni utata mtupu. Zana duni za kutendea kazi, afya hatarini...morale ya kazi chini!
ReplyDeleteWaendeshaji wa kampuni hii na watoa "tenda" waangalie ubora wa waendeshaji wa shughuli kwa kuzingatia namna shughuli zenyewe zinavyofanywa na vitendea kazi.
hivi kweli wanashinda kuwapa hao wakina mama nguo maalumu za kazi hizo kama ma overall clothe , WASIJE KAA VIBAYA WAKAACHA CINEMA KWA WAPITA NCHIA . PIA MIMI SIZANI HIZI NI KAZI ZA KUPEWA WAKINA MAMA, INABIDI TUWAJALI WAKINA MAMA ZETU KAMA NCHI ZA KIARABU. PILA INABIDI KUBADILIKA SIYO KAZI ZA OFISINI NDO WAVAE VIZURI , NAZANI KILA HAINA YA KAZI INABIDI ITHAMINIWE NA WATU WAKE WATHAMINIWE WAWE KI PROFESSIONAL ZAIDI KIMA VAZI ADI KIUTENDAJI. EXMPLE ULAYA HATA MPIGA BOX ANA DRESS WELL.
ReplyDeleteMDAU PARIS
Kwanza huu ni wizi. Haya makampuni yanapata tenders za kusafisha barabara na wanakula hela.
ReplyDeleteWana ajiri wakina mama kufanya hii kazi... wanatakiwa wawe na gari la kusafisha barabara..
Kwanini unapata tender za kusafisha barabara au kusupply trash cans lakini huna uwezo wa kusupply??
Makampuni kama haya yanatakiwa yafungwe.. this is pure suicide for this poor wome.
Giving tenders to companies without the means to complete the tenders leads to this kind of labor abuse.
These women could have contributed better in another aspect of economy than getting paid 2000 tshs a day to sweep roads.
TB, CANCER AND also other diseases do attack and face these pure workers every day.
Tools for completing the jobs are crucial to execute the job successfully.