Ankal,
Habari za masiku tele? Leo napenda kukuletea mambo ya huku Italy ambapo watu wanafanya kila linalowezekana kuonyesha dhamira yao. Baada ya kashfa ya waziri mkuu wa nchi baadhi ya wananchi wametengeneza kitanda na kuzunguka nacho mtaani wakati wa carnival (Bunga Bunga - inamaanisha mtu wa mademu)

Kadhalika wakati kipindi cha joto kikianza, tunashuhudia juhudi za ombaomba katika kuwapata wateja. miguu juu kichwa chini kaka.
kila la heri
Mdau Italy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Maana halisi ya neno “Bunga Bunga” sio Mtu wa Mademu kwa kifupi neno Bunga Bunga lina historia tokea mwaka 1910 angalia BBC link http://www.bbc.co.uk/news/world-europe-12325796 pia wikipaedia(http://en.wikipedia.org/wiki/Bunga_bunga) na BBC pia.

    Neno hilo limepata umaarufu kutokana na kutumiwa na mwanadada mrembo wa kimoroco anayeshutumiwa kuwa alikuwa demu wa Berlusconi alipodai hadharani kuwa hakuwahi kufanya ngono na Berlusconi, bali yeye alishawahi kuhudhuria sherehe (pati) ya binafis ya Bunga Bunga “Bunga Bunga Party ilifanyika katika nyumba mojawapo ya Berlusconi.
    Hivyo toka skendo hiyo maana ya Bunga Bunga kwa lugha ya kimtaani (urban dictionary) inasemekana kuwa:
    1) Shughuli binafsi/sherehe za binafsi (pati) zinazohusishwa na ngono, mfano kundi la wakinadada waliokuwa uchi wakimliwaza au kuwachezea mvulana au kundi la wavulana nao wakiwa uchi au wamezaa nguo.
    2) Mara nyingine michezo hiyo ya aina ya ki-ngono inakuwa anachezwa ndani ya swimming pool

    3) Ilafanana sana na strip dance au pole dance lakini Bunga Bunga huwa ni binafis sana sio ya kwenye public

    4) Wengine wanasema Bunga Bunga Pati huwa hakuna ngono haswa, ni kucheza tu, lakini wengine wanasema kuna version ya Bunga Bunga pati ambayo huwa ngono haswa ipo tena ya vikundi. Mfano wadada watatu na makaka wawili au mmoja na kubadilishana.

    5) Neno hili huusishwa sana kwa watu wenye uwezo mkubwa au nyadhifa kubwa pale wanapojihusisha na mambo hayo ya michezo ya ngono haswa na wasichana wadogo. Mfano Kiongozi, mbunge au bosi wa kampuni anayehonga wasichana wadogo kwa Ngono au michezo ya ngono unaweza kupachikwa jina la “Bunga Bunga Dady”
    Alex Bura Jo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...