MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Afande Zhang Huachen akishuka kutoka katika meli ya kijeshi ya nchi hiyo, iliyotia nanga katika bandari ya Dar-Es-Salaam leo tayari kuanza ziara ya Kiserikali ya siku tano hapa nchini.
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Afande Zhang Huachen (mwenye sare nyeupe katikati) akipokewa na mwenyeji wake, Mkuu wa Jeshi la maji nchini Meja Jerenali Said Shaban Omar mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akisalimia na Maafisa wa Jeshi la wanamaji wa hapa nchini mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akisalimia na Maafisa wa Jeshi la wanamaji wa hapa nchini mara baada ya kuwasili katika Bandari ya Dar-Es-Salaam
MKUU wa msafara wa jeshi la wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen akiwa na Mkuu wa Jeshi la wanamaji la hapa nchini Meja Jenerali Said Shaban Omar mara baada kupokelewa leo (jana) asubuhi katika Bandari ya Dar-Es-Salaam. Wakiwa hapa nchini jeshi hilo la wanamaji kutoka China
Raia wa nchini China waishio Tanzania wakiwa
katika shamrashamra za kuipokea Meli za Kijeshi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wanajeshi wetu wanaonekana wafupi na wenye vitambi. Wachina wanaonekana warefu na wako fiti.

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu umeona eehh no mvuto at all bora liende!

    ReplyDelete
  3. Sasa ukisikia wabongo wametawaliwa usishangae,maana mkoloni alikuja hivhivi. mara kaleta shanga mara kaleta hiki then siku moja anaamua kutek ova.

    ReplyDelete
  4. Watanzania hasa maaskari polisi na wanajeshi wakipata vyeo hawafanyi mazoezi. Inabidi waweke Gym makazini halafu iwe sheria. Kama haupo fit na kazi hauna hata kama ni Generali!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...