Mwandaaji wa Style Motomoto Khadija Mwanamboka akimtuza Gabriel Mollel kwa kuibuka mbunifu bora wa mwezi Machi wakati wa onesho la mavazi la Tanzania Mitindo House usiku wa kuamkia leo hoteli ya Double Tree jijini Dar Chini Mamodo wakionesha mitindo
Modo akiwa kazini
Mitindo
Miss TZ akionesha mitindo
Mamodo
MC wa siku
Maua kwa waalikwa
Women Friends walikuwapo pia

WABUNIFU WALIKUWA GABRIEL MOLLEL,DIANA MAGESA,ESKADO BIRD NA MARTIN KADINDA. STYLE MOTO MOTO INADHAMINIWA NA VODACOM TANZANIA,REDD'S,QUICK PRINT,EVENTLITES,VAYLE SPRINGS,DOUBLE TREE BY HILTON,UNIQUE PEARL COLLECTION NA AMINA DESIGN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mimi ni swali hivi hawa mamodol hawaruhusiwagi kutabasam maana naona wamenuna kweli kweli ni kwa nini ni hayo tu

    ReplyDelete
  2. haurihusiwi to kutoa attention kutoka kwenye nguo kwenda kwenye uso wako, ndo mana hawatababsamu, unatakiwa kuangalia nguo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...